Ramadhan Qur'an Contest 1431AH (2010)

[photogallery/photo00026500/real.htm]

(Picha na Saleh Jaber)

Matokeo ya Washindani wa Ramadhan Qur'an Contest 1431AH kutokana na Majaji

Alhamdulillah, mashindano ya kusoma Qur'an katika mwezi mtukufu wa Ramadhan ya mwaka 1431AH (2010) yaliyofanyika tarehe 21/08/2010 yamekamilika. Imetangazwa rasmi katika ukumbi wa mashindano ya Qur'an kuwa, matokeo ya mwaka huu yamechukuliwa kufanyiwa kazi na majaji na yatatangazwa rasmi katika siku zijazo, Inshallah. Hii ni kutokana na muda uliotukabili katika ukumbi wa mashindano na kuwapa fursa majaji wafanye kazi yao kiutulivu na kupata matokeo ya washindani kama walivyoona (majaji) wao, Inshallah. Wabillahi tawfeeq.

Alhamdulillah, we have successfully completed Ramadhan Qur'an Contest 1431AH (2010) which was held on 21/08/2010. In the end of the contest, it was officially announced that the results of this year's Ramadhan Qur'an Contest will be announced at later days after the judges come up with the outcome, Inshallah. Wabillahi tawfeeq.

Washindani wa Ramadhan Qur'an Contest 1431AH kwa mpangilio walivyoanza kusoma

Level 1

Mahir Nassor

Luqman Said

Abdallah Said

Feisal Issa

Safrana Faiz

Khairat Juma

Yakoub Abeid

Level 2

Hasan Mohamed

Salim Nassor

Rashid Mohamed

UmmuKulthum Said

Samiya Said

Faiza Sagaf

Rafia Al-Miskry

Mujahid Mujahid

Level 3

Mohammed Yusuf

Ashraf Khalifa

AbdulMajid Yusuf

(Washindani wa mashindano ya Qur'an wote ni Washindi)

Kuangalia Levels za washindani na Kanuni za mashindano bonyeza hapa

Majaji

Sheikh Issa Mujaahid

Ustadh Sabry El Abry

Ustadh Yusuf Abdillahi

Mtangazaji

Ustadh Said Ahmed

Shukran

Shukran za wote waliochangia katika mashindano ya Qur'an 1431 AH (2010) zitafuata baada ya matokeo ya mashindano, Inshallah.

Ramadhan Qur'an Contest 1431AH (2010) Sponsored by:

- Jazaakallahu Khayran -

Tunawaomba mtuunge mkono kusimamisha jambo hili kila mwaka inshallah, maelezo zaidi tuma email:

info@salamatrust.com

- Wabillahi Tawfeeq -

Salama Charitable Trust

 

 

 

:::: © Salama Charitable Trust ::::